Our website uses necessary cookies to enable basic functions and optional cookies to help us to enhance your user experience. Learn more about our cookie policy by clicking "Learn More".
Accept All Only Necessary Cookies
Tenzi za Rohoni 图标

4.0.1 by Londo Apps


2024年05月02日

关于Tenzi za Rohoni

Nyimbo za Tenzi za Rohoni toleo jipya lenye tenzi 161 na nyimbo za dini。

App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote。

Tenzi za Rohoni app ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya。 Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini。

Imba kufuata ala za nyimbo ambazo unaweza kusikiliza pindi unapoimba bila kuwa na intaneti(离线)

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu。

Wakolosai 3:16

特征

★ Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini。

★ Ala za tenzi bila intaneti(离线)

★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi。

★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote

★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo

★ Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya

★ Kuchagua aina ya fonti za aya

★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti

最新版本4.0.1更新日志

Last updated on 2024年05月02日

Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

翻译中...

更多应用信息

最新版本

请求 Tenzi za Rohoni 更新 4.0.1

上传者

عبد الرزاق الحمصي

系统要求

Android 6.0+

Available on

Tenzi za Rohoni 来源 Google Play

更多

Tenzi za Rohoni 屏幕截图

评论载入中...
语言
订阅APKPure
第一时间获取热门安卓游戏应用的首发体验,最新资讯和玩法教程。
不,谢谢
订阅
订阅成功!
您已订阅APKPure。
订阅APKPure
第一时间获取热门安卓游戏应用的首发体验,最新资讯和玩法教程。
不,谢谢
订阅
成功!
您已订阅我们的邮件通知。