Tenzi za Rohoni mpya 161

Tenzi za Rohoni mpya 161

Londo Apps
Aug 19, 2024
  • 22.2 MB

    File Size

  • Android 6.0+

    Android OS

About Tenzi za Rohoni mpya 161

Nyimbo za Tenzi za Rohoni toleo jipya lenye tenzi 161 na nyimbo za dini.

App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.

Tenzi za Rohoni app ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini.

Imba kufuata ala za nyimbo ambazo unaweza kusikiliza pindi unapoimba bila kuwa na intaneti (Offline)

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.

Wakolosai 3:16

FEATURES

★ Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.

★ Ala za tenzi bila intaneti (Offline)

★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.

★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote

★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo

★ Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya

★ Kuchagua aina ya fonti za aya

★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti

Show More

What's new in the latest 4.0.3

Last updated on Aug 19, 2024
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Show More

Videos and Screenshots

  • Tenzi za Rohoni mpya 161 poster
  • Tenzi za Rohoni mpya 161 screenshot 1
  • Tenzi za Rohoni mpya 161 screenshot 2
  • Tenzi za Rohoni mpya 161 screenshot 3

Tenzi za Rohoni mpya 161 APK Information

Latest Version
4.0.3
Android OS
Android 6.0+
File Size
22.2 MB
Developer
Londo Apps
Available on
Safe & Fast APK Downloads on APKPure
APKPure uses signature verification to ensure virus-free Tenzi za Rohoni mpya 161 APK downloads for you.

Old Versions of Tenzi za Rohoni mpya 161

APKPure icon

Super Fast and Safe Downloading via APKPure App

One-click to install XAPK/APK files on Android!

Download APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies