Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16

Robert Londo
2023年02月01日
  • 10.0

    1 评论

  • 7.7 MB

    文件大小

  • Android 4.1+

    Android OS

关于Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16

Nyimbo za Tenzi za Rohoni toleo jipya lenye tenzi 161 na nyimbo za dini。

App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote。

App hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya。 Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini。

Pia app hii ina ala za nyimbo ambazo unaweza kusikipiliza pindi unapoimba bila kuwa na intaneti(离线)

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani Yinu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu。

Wakolosai 3:16

特点

★ Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini。

★ Ala za tenzi bila intaneti(离线)

★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi。

★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote

★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo

★ Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya

★ Kuchagua aina ya fonti za aya

★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti

更多收起

最新版本2.4.6的更新日志

Last updated on 2023年02月01日
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16历史版本

在APKPure上极速安全下载应用

一键安装安卓XAPK/APK文件!

下载 APKPure