Jinsi ya Kufanikiwa

Jinsi ya Kufanikiwa

Alianda
15/07/2019
  • 5.0 MB

    Tamaño de archivo

  • Android 4.1+

    Android OS

Acerca del Jinsi ya Kufanikiwa

Ni matarajio ya kila binadamu kutaka kufanikiwa maishani mwake.Descargar aplicación hii

Jinsi Ya Kufanikiwa

Utangulizi

Ni matarajio ya kila binadamu anyeishi chini ya jua na mwezi kutaka kufanikiwa maishani mwake, kuna baadhi ambao hufuzu kufanikiwa na wengine hufeli kabisa.Kila binadamu ameumbwa na kiu ya kufanikiwa katika kila kitu anachofanya. Mafanikio ndio kilele cha mlima mkubwa wa maisha ambao umejengwa kwa misingi na ngazi za mihangaiko na mitihani ambayo unapaswa kuivuka ili upumzike kwenye kilele hicho.

Simulizi kwa Undani

Kwa bahati mbaya, unaposema ‘mafanikio’ wengi hufikiria kuhusu ‘utajiri’. Lakini ukweli ni kuwa kuna tofauti kati ya kuwa tajiri na kufanikiwa kiuchumi. Unaweza kuwa tajiri lakini ukawa bado hujafanikiwa. Kwa kuwa watu wanawaza utajiri kuwa ndio kigezo cha mafanikio hujikuta wakijiingiza kwenye vitendo vya ajabu kwa lengo la kujizolea mali lakini mwisho huwa wanagundua kuwa hawajafanikiwa japo jamii inahisi wamefanikiwa.

Umuhimu wa App hii

- Utajua jinsi ya kufanikiwa.

- Ushauri wa maisha.

- Jinsi ya kuishi.

- Jinsi ya kupata pesa.

- Jinsi ya kutumia pesa n.k.

Wenye Kutumia

- Ulimwengu nzima kama;

- Vijana na watu wazima;

- Wenye wako kwa ndoa;

- Wenye wanatarajia kuingia kwenye ndoa;

- Kenya;

- Tanzania;

- Uganda;

- Sudan;

- Congo;

- Mozambique;

- Australia;

- South Afrika;

- Burundi;

- Rwanda na nchi nyingi sana kwenye bara la afrika.

Mwisho

Download App hi ya Kiswahili ili ujifunze vile unavyo weza kufanikiwa.

Mostrar más

Novedades más recientes 4.0

Last updated on 2019-07-16
- Kuboreshwa kwa App yote.
- App mpya ina mambo yafyatayo:
- Jinsi ya kutumia wakati wako vyema
- Jinsi ya kutumia pesa zako
- Marafiki wako
- Mawazo ya kushtusha
- Kuwa mtu mbunifu
- Tips za kufanikiwa
- Maisha yako
- Ushauri.
- Himizo
- English Version about success.
- Bug fixes.
Mostrar más

Vídeos y capturas de pantalla

  • Jinsi ya Kufanikiwa Poster
  • Jinsi ya Kufanikiwa captura de pantalla 1
  • Jinsi ya Kufanikiwa captura de pantalla 2
  • Jinsi ya Kufanikiwa captura de pantalla 3
  • Jinsi ya Kufanikiwa captura de pantalla 4

Información de Jinsi ya Kufanikiwa APK

Última Versión
4.0
Categoría
Empresa
Android OS
Android 4.1+
Tamaño de archivo
5.0 MB
Desarrollador
Alianda
Descargas seguras y rápidas de APK en APKPure
APKPure utiliza verificación de firmas para garantizar descargas de Jinsi ya Kufanikiwa APK libres de virus para ti.

Versiones Antiguas de Jinsi ya Kufanikiwa

APKPure icono

Descarga rápida y segura a través de APKPure App

¡Un clic para instalar archivos XAPK/APK en Android!

Descargar APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies