Jinsi ya Kufanikiwa

Jinsi ya Kufanikiwa

Alianda
15/07/2019
  • 5.0 MB

    حجم الملف

  • Android 4.1+

    Android OS

عن Jinsi ya Kufanikiwa

Ni matarajio ya kila binadamu kutaka kufanikiwa maishani mwake.Download app hii

Jinsi Ya Kufanikiwa

Utangulizi

Ni matarajio ya kila binadamu anyeishi chini ya jua na mwezi kutaka kufanikiwa maishani mwake, kuna baadhi ambao hufuzu kufanikiwa na wengine hufeli kabisa.Kila binadamu ameumbwa na kiu ya kufanikiwa katika kila kitu anachofanya. Mafanikio ndio kilele cha mlima mkubwa wa maisha ambao umejengwa kwa misingi na ngazi za mihangaiko na mitihani ambayo unapaswa kuivuka ili upumzike kwenye kilele hicho.

Simulizi kwa Undani

Kwa bahati mbaya, unaposema ‘mafanikio’ wengi hufikiria kuhusu ‘utajiri’. Lakini ukweli ni kuwa kuna tofauti kati ya kuwa tajiri na kufanikiwa kiuchumi. Unaweza kuwa tajiri lakini ukawa bado hujafanikiwa. Kwa kuwa watu wanawaza utajiri kuwa ndio kigezo cha mafanikio hujikuta wakijiingiza kwenye vitendo vya ajabu kwa lengo la kujizolea mali lakini mwisho huwa wanagundua kuwa hawajafanikiwa japo jamii inahisi wamefanikiwa.

Umuhimu wa App hii

- Utajua jinsi ya kufanikiwa.

- Ushauri wa maisha.

- Jinsi ya kuishi.

- Jinsi ya kupata pesa.

- Jinsi ya kutumia pesa n.k.

Wenye Kutumia

- Ulimwengu nzima kama;

- Vijana na watu wazima;

- Wenye wako kwa ndoa;

- Wenye wanatarajia kuingia kwenye ndoa;

- Kenya;

- Tanzania;

- Uganda;

- Sudan;

- Congo;

- Mozambique;

- Australia;

- South Afrika;

- Burundi;

- Rwanda na nchi nyingi sana kwenye bara la afrika.

Mwisho

Download App hi ya Kiswahili ili ujifunze vile unavyo weza kufanikiwa.

عرض المزيد

What's new in the latest 4.0

Last updated on 2019-07-16
- Kuboreshwa kwa App yote.
- App mpya ina mambo yafyatayo:
- Jinsi ya kutumia wakati wako vyema
- Jinsi ya kutumia pesa zako
- Marafiki wako
- Mawazo ya kushtusha
- Kuwa mtu mbunifu
- Tips za kufanikiwa
- Maisha yako
- Ushauri.
- Himizo
- English Version about success.
- Bug fixes.
عرض المزيد

فيديوهات ولقطات الشاشة

  • Jinsi ya Kufanikiwa الملصق
  • Jinsi ya Kufanikiwa تصوير الشاشة 1
  • Jinsi ya Kufanikiwa تصوير الشاشة 2
  • Jinsi ya Kufanikiwa تصوير الشاشة 3
  • Jinsi ya Kufanikiwa تصوير الشاشة 4

الإصدارات القديمة لـ Jinsi ya Kufanikiwa

APKPure أيقونة

قم بتنزيل سريع وآمن بالغاية عبر تطبيق APKPure

قم بتثبيت ملفات XAPK/APK بنقرة واحدة على أندرويد!

تحميل APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies