MAKAZI
  • 4.0 MB

    Tamaño de archivo

  • Android 4.1+

    Android OS

Acerca del MAKAZI

Ramani za Nyumba, Makadirio, Mafundi, Ushauri, Viwanja, Vifaa ktk Ujenzi Makazi!

MAKAZI ni mtandao mahususi Afrika Mashariki unakuletea huduma za ujenzi makazi jirani na wewe muda wote kupitia simu yako ili uweze kufanikisha ujenzi na nyumba yako kwa UBORA

Fanikisha Nyumba ya Ndoto Yako Sasa!

Kupitia MAKAZI waweza pata huduma za Ramani za nyumba za kisasa, Ushauri wa haraka kutoka kwa wataalamu, Kuunganishwa na mafundi ujenzi, Kufanya makadirio y gharama na vifaa, Kuunganishwa na wauzaji wa vifaa na viya haviana. Huduma hizi zinaendelea kuboreshwa na kusambazwa ili ziweze kuwafikia na kuwanufaisha wengi zaidi.

Baadhi ya es vilivyosukuma kuileta MAKAZI kwako ni kutokana na watu wengi kukosa msaada wa haraka wa wataalamu makazi hivyo hujikuta wakifanya ujenzi wao ktk kiwango duni na maria nyingine kaska paqnáq Tukitumia nguvu ya mtandao twaweza wafikia watu wengi zaidi na wakapata taarifa nzuri zaidi zitakazo wasaidia kufanikisha ujenzi wao ktk ubora mzuri. Sisi tunakupa HAMASA ya ujenzi wa nyumba ya ndoto yako!

Anza kufanikisha nyumba ya ndoto yako sasa!

Ramani za Nyumba, Makadirio, Ushauri, Mafundi, Vifaa, Viwanja ...!

Mostrar más

Novedades más recientes 3.7.0

Last updated on 2020-01-21
Fast search feature
Questions and answers
Fix broken links
Mostrar más

Vídeos y capturas de pantalla

  • MAKAZI Poster
  • MAKAZI captura de pantalla 1
  • MAKAZI captura de pantalla 2
  • MAKAZI captura de pantalla 3
  • MAKAZI captura de pantalla 4
  • MAKAZI captura de pantalla 5
  • MAKAZI captura de pantalla 6
  • MAKAZI captura de pantalla 7

Versiones Antiguas de MAKAZI

APKPure icono

Descarga rápida y segura a través de APKPure App

¡Un clic para instalar archivos XAPK/APK en Android!

Descargar APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies