MAKAZI
  • 4.0 MB

    Ukuran file

  • Android 4.1+

    Android OS

Tentang MAKAZI

Ramani za Nyumba, Makadirio, Mafundi, Ushauri, Viwanja, Vifaa ktk Ujenzi Makazi!

MAKAZI ni mtandao mahususi Afrika Mashariki unakuletea huduma za ujenzi makazi jirani na wewe muda wote kupitia simu yako ili uweze kufanikisha ujenzi wa nyumba ya ndoto yako kwa UBORA, UHAKIKA na UNAFUU zaidi!

Fanikisha Nyumba ya Ndoto Yako Sasa!

Kupitia MAKAZI waweza pata huduma za Ramani za nyumba za kisasa, Ushauri wa haraka kutoka kwa wataalamu, Kuunganishwa na mafundi ujenzi, Kufanya makadirio gharama na vifaa, Kuunganishwa na wauzaji wa vifaa na vija Tidak ada foto yang tersedia di sini untuk melihat lebih banyak lagi dan menambahkan lebih banyak dari yang lain.

Anda dapat memilih dari MAKAZI kwako ni kutokana na watu wengi kukosa msaada wa haraka wa wataalamu makazi hivyo hujikuta wakifanya ujao wao ktk kiwango duni na mara nyingine kutumia fedha nyingi zaidi ya inavyotakitawa. Tukitumia nguvu ya mtandao twaweza wafikia watu wengi zaidi na wakapata taarifa nzuri zaidi zitakazo wasaidia kufanikisha ujenzi wao ktk ubora mzuri. Sisi tunakupa HAMASA ya ujenzi wa nyumba ya ndoto yako!

Anza kufanikisha nyumba ya ndoto yako sasa!

Ramani za Nyumba, Makadirio, Ushauri, Mafundi, Vifaa, Viwanja…!

Tampilkan Selengkapnya

What's new in the latest 3.7.0

Last updated on 2020-01-21
Fast search feature
Questions and answers
Fix broken links
Tampilkan Selengkapnya

Video dan tangkapan layar

  • MAKAZI poster
  • MAKAZI screenshot 1
  • MAKAZI screenshot 2
  • MAKAZI screenshot 3
  • MAKAZI screenshot 4
  • MAKAZI screenshot 5
  • MAKAZI screenshot 6
  • MAKAZI screenshot 7

Versi lama MAKAZI

MAKAZI 3.7.0

4.0 MBJan 21, 2020
Unduh

MAKAZI 2.5.0

3.6 MBJul 31, 2019
Unduh

MAKAZI 1.0

4.5 MBSep 7, 2023
Unduh
ikon APKPure

Pengunduhan Super cepat dan aman melalui aplikasi APKPure

Sekali klik untuk menginstal file XAPK/APK di Android!

Unduh APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies