MAKAZI
  • 4.0 MB

    Rozmiar Pliku

  • Android 4.1+

    Android OS

O MAKAZI

Ramani za Nyumba, Makadirio, Mafundi, Ushauri, Viwanja, Vifaa ktk Ujenzi Makazi!

MAKAZI ni mtandao mahususi Afrika Mashariki unakuletea huduma za ujenzi makazi jirani na wewte muda wote kupitia simu yako ili uweze kufanikisha ujenzi wa nyumba ya ndoto yako kwa UBORA, UHAKIKA na UNAFUU zaidi!

Fanikisha Nyumba ya Ndoto Yako Sasa!

Kupitia MAKAZI waweza pata huduma za Ramani za nyumba za kisasa, Ushauri wa haraka kutoka kwa wataalamu, Kuunganishwa na mafundi ujenzi, Kufanya makadirio ya gharama na vifaa, Kuunganishwa na wauzaji wa vifaa na viwanja vya makazi. Huduma hizi zinaendelea kuboreshwa na kusambazwa ili ziweze kuwafikia na kuwanufaisha wengi zaidi.

Baadhi ya vitu vilivyosukuma kuileta MAKAZI kwako ni kutokana na watu wanda msaada wa haraka wa wataalamu makazi hivyo hujikuta wakifanya ujenzi wao ktk kiwango duni na mara nyingine kutumia fedha nyingi zaidi ya inavyotakitawa. Tukitumia nguvu ya mtandao twaweza wafikia watu w zai na wakapata taarifa nzuri zaidi zitakazo wasaidia kufanikisha ujenzi wao ktk ubora mzuri. Sisi tunakupa HAMASA ya ujenzi wa nyumba ya ndoto yako!

Anza kufanikisha nyumba ya ndoto yako sasa!

Ramani za Nyumba, Makadirio, Ushauri, Mafundi, Vifaa, Viwanja ...!

Pokaż więcej

What's new in the latest 3.7.0

Last updated on 2020-01-21
Fast search feature
Questions and answers
Fix broken links
Pokaż więcej

Filmy i zrzuty ekranu

  • MAKAZI plakat
  • MAKAZI screenshot 1
  • MAKAZI screenshot 2
  • MAKAZI screenshot 3
  • MAKAZI screenshot 4
  • MAKAZI screenshot 5
  • MAKAZI screenshot 6
  • MAKAZI screenshot 7

Stare wersje MAKAZI

MAKAZI 3.7.0

4.0 MBJan 21, 2020
Pobierz

MAKAZI 2.5.0

3.6 MBJul 31, 2019
Pobierz

MAKAZI 1.0

4.5 MBSep 7, 2023
Pobierz
APKPure ikona

Superszybkie i bezpieczne pobieranie za pośrednictwem aplikacji APKPure

Jedno kliknięcie, aby zainstalować pliki XAPK/APK na Androidzie!

Pobierz APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies