OFFICIAL SSC (MSIMBAZI)
4.4 and up
Android OS
Acerca del OFFICIAL SSC (MSIMBAZI)
Kuwa Wa Kwanza Kupata Habari za Wekundu wa Msimbazi Kiganjani Kwako
OFFICIAL SSC (MSIMBAZI) inakupatia matokeo, mechi na ratiba za klabu ya wekundu wa msimbazi moja kwa moja kupitia simu yako.
Pia ni kiunganishi cha mashabiki wa wekundu wa msimbazi Tanzania na Dunian katika kukuletea habari za soka la Tanzania na afrika hususan ukanda wa Kenya Uganda Congo na Afrika kwa ujumla.
SSC OFFICIAL APP pia inakupatia matukio yanayojiri kwenye ligi kubwa ulimwenguni ikiwemo La Liga, English Premier League, Ligue One, Seriea A na kutoka kwenye vilabu vikubwa ikiwemo Manchester united, liverpool Chelsea Arsenal Real Madrid Barcelona n.k
Kupitia SSC OFFICIAL APP sasa unaweza kufikiwa na habari na matukio yote muhimu yanayoendelea katika ulimwengu wa michezo. Yanga, Simba Ligi kuu ya vodacom na Vilabu vingine vingi utapata habari zake na matukio kwa haraka na uhakika.
MABINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA
CHAMPIONS BACK TO BACK
Novedades más recientes 1.0
Información de OFFICIAL SSC (MSIMBAZI) APK
Descarga rápida y segura a través de APKPure App
¡Un clic para instalar archivos XAPK/APK en Android!