دربارهی Tamthilia Zetu
Tazama Tamthilia Zote Za Kiswahili Za Msimu Mpya Kila Siku
Tamthilia Zetu ni App inayokupatia nafasi ya kutazama mfululizo wa Tamthilia mbalimbali za Kibongo kupitia simu yako ya mkononi bure.
Kwa wale wanaokosa muda wa kutazama Tamthilia hizo majumbani wataweza kutazama Tamthilia zote hizo kwa kutumia simu zao za mkononi.
Mbali na Tamthilia hizo App hii pia inamuwezesha mtumiaji kuweza kutazam Movie zingineza Kibongo mpya na za zamani.
SIFA ZA APP HII
>Muonekano mzuri wa picha
>Ni bure kutumia
>Haihitaji kujisajili
>Inafanya kazi haraka
KANUSHO:
Maudhui yote yalitomika katika App hii ni haki miliki ya wamiliki husika. Sisi hatuna haki miliki ya maudhui yaliyotumika katika App hii isipokuwa tumeyatumia kuwa sehemu ya burudani kwa mtumiaji.
Kama utaona kuna chochote kinahitaji kuondolewa katika App hii basi usisite kuwasiliana nasi kwa kupitia email iliyopo hapo chini.
جدیدترین 9.8 چه خبر است
اطلاعات Tamthilia Zetu APK
نسخههای قدیمی Tamthilia Zetu
Tamthilia Zetu 9.8

دانلود فوق سریع و ایمن از طریق برنامه APKPure
برای نصب فایل های XAPK/APK در اندروید با یک کلیک!