À propos de Anuani Maneno Matatu(AM3)
AM3
Sasa kila raia, Biashara na kila Mali isiyohamishika Kwenye nchi za Afrika Mashariki imepata anuani ya kudumu. Yote Ardhi ya Afrika Mashariki tumeigawanya Kwenye miraba ya wa mita ukubwa tatu tatu kwa (3m x 3m) na kila mraba umepewa anuani Maneno matatu. Maneno matatu haya hayana maana yoyote. Ni Maneno matatu tu. Ni rahisi kuyakumbuka na ni rahisi kutumia. Ni sawa na Majina yako matatu.
Kampuni ya services DigitalCity Ltd ya Tanzanie imeshirikiana na Kampuni ya What3words ya Uingereza kukamilisha Mradi huu. Anuani Hizi ni maalumu kwa nchi za Afrika Mashariki - Tanzanie, Kenya, Ouganda, Rwanda, Burundi, République démocratique du Congo (RDC), la Zambie, le Soudan du Sud et au Malawi.
Anuani Maneno matatu - AM3 inakuwezesha kutambua mahali ulipo, Biashara yako ilipo na mahali Mali yako ilipo, na Kwenye unaisajili rejista ya kudumu ya anuani. Kwa kutumia anuani Maneno matatu unaweza kutangaza Biashara yako na / au kutafuta bidhaa unayoihitaji iko WAPI. Pia unaweza kutafuta anuani za jamaa na na Marafiki zako za washirika Wako wa na Biashara kuwatembelea. Fika mahali unapotaka, Wakati wowote na kuuliza bila. Nenda na AM3.
What's new in the latest 7.30.270688
Introducing Polygon(P) feature, which enables one(surveyor) to draw and store shapes(Polygons) in the device
Wapiana Chat TimeStamp Fixed
Informations Anuani Maneno Matatu(AM3) APK
Vieilles versions de Anuani Maneno Matatu(AM3)
Anuani Maneno Matatu(AM3) 7.30.270688
Anuani Maneno Matatu(AM3) 5.20.03.20.270688
Anuani Maneno Matatu(AM3) 4.04.05.18.270688
Anuani Maneno Matatu(AM3) 3.10.12.17.270688
Alternative à Anuani Maneno Matatu(AM3)







Téléchargement super rapide et sûr via l'application APKPure
Un clic pour installer les fichiers XAPK/APK sur Android!