Anuani Maneno Matatu(AM3)

Anuani Maneno Matatu(AM3)

  • 7.9 MB

    Tamaño de archivo

  • Android 4.1+

    Android OS

Acerca del Anuani Maneno Matatu(AM3)

AM3

Sasa raia Kila, Biashara na Kila mali isiyohamishika kwenye NCHI za Afrika Mashariki imepata anuani ya kudumu. Yote Ardhi ya Afrika Mashariki tumeigawanya kwenye Miraba ya ukubwa wa mita tatu tatu kwa (3m x 3m) na Kila mraba umepewa anuani maneno matatu. Maneno matatu Haya yoyote maana hayana. Ni maneno matatu tu. Ni rahisi kuyakumbuka na ni rahisi kutumia. Ni sawa na Majina Yako matatu.

Kampuni ya Servicios DigitalCity Ltd ya Tanzania imeshirikiana na Kampuni ya What3words ya Uingereza kukamilisha Mradi Huu. Anuani hizi ni maalumu kwa NCHI za Afrika Mashariki - Tanzania, Kenia, Uganda, Ruanda, Burundi, República Democrática del Congo (RDC), Zambia, Sudán del Sur y Malawi.

Anuani Maneno Matatu - AM3 inakuwezesha kutambua Mahali ulipo, Yako Biashara ilipo na Mahali mali Yako ilipo, na kwenye unaisajili rejista ya kudumu ya anuani. Kwa kutumia anuani maneno matatu unaweza kutangaza Biashara Yako na / au kutafuta bidhaa unayoihitaji iko WAPI. Pia unaweza kutafuta anuani za jamaa na marafiki zako na za washirika Wako wa Biashara na kuwatembelea. Fika Mahali unapotaka, Wakati wowote na kuuliza bila. Nenda na AM3.

Mostrar más

Novedades más recientes 7.30.270688

Last updated on 2021-09-09
Fixed bugs, enhanced performance

Introducing Polygon(P) feature, which enables one(surveyor) to draw and store shapes(Polygons) in the device

Wapiana Chat TimeStamp Fixed
Mostrar más

Vídeos y capturas de pantalla

  • Anuani Maneno Matatu(AM3) Poster
  • Anuani Maneno Matatu(AM3) captura de pantalla 1
  • Anuani Maneno Matatu(AM3) captura de pantalla 2
  • Anuani Maneno Matatu(AM3) captura de pantalla 3
  • Anuani Maneno Matatu(AM3) captura de pantalla 4
  • Anuani Maneno Matatu(AM3) captura de pantalla 5
  • Anuani Maneno Matatu(AM3) captura de pantalla 6
  • Anuani Maneno Matatu(AM3) captura de pantalla 7
APKPure icono

Descarga rápida y segura a través de APKPure App

¡Un clic para instalar archivos XAPK/APK en Android!

Descargar APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies