About Anuani Maneno Matatu(AM3)
AM3
Sasa kila raia, biashara na kila mali isiyohamishika kwenye nchi za Afrika Mashariki imepata anuani ya kudumu. Ardhi yote ya Afrika Mashariki tumeigawanya kwenye miraba ya ukubwa wa mita tatu kwa tatu (3m x 3m) na kila mraba umepewa anuani maneno matatu. Maneno matatu haya hayana maana yoyote. Ni maneno matatu tu. Ni rahisi kuyakumbuka na ni rahisi kutumia. Ni sawa na majina yako matatu.
Kampuni ya DigitalCity Services Ltd ya Tanzania imeshirikiana na Kampuni ya What3words ya Uingereza kukamilisha mradi huu. Anuani hizi ni maalumu kwa nchi za Afrika Mashariki - Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Democratic Republic of Congo (DRC), Zambia, Southern Sudan and Malawi.
Anuani Maneno Matatu – AM3 inakuwezesha kutambua mahali ulipo, biashara yako ilipo na mahali mali yako ilipo, na unaisajili kwenye rejista ya kudumu ya anuani. Kwa kutumia anuani maneno matatu unaweza kutangaza biashara yako na/au kutafuta bidhaa unayoihitaji iko wapi. Pia unaweza kutafuta anuani za jamaa na marafiki zako na za washirika wako wa biashara na kuwatembelea. Fika mahali unapotaka, wakati wowote na bila kuuliza. Nenda na AM3.
What's new in the latest 7.30.270688
Introducing Polygon(P) feature, which enables one(surveyor) to draw and store shapes(Polygons) in the device
Wapiana Chat TimeStamp Fixed
Anuani Maneno Matatu(AM3) APK Information
Old Versions of Anuani Maneno Matatu(AM3)
Anuani Maneno Matatu(AM3) 7.30.270688
Anuani Maneno Matatu(AM3) 5.20.03.20.270688
Anuani Maneno Matatu(AM3) 4.04.05.18.270688
Anuani Maneno Matatu(AM3) 3.10.12.17.270688
Anuani Maneno Matatu(AM3) Alternative







Super Fast and Safe Downloading via APKPure App
One-click to install XAPK/APK files on Android!