Kilimo Biashara

Mshindo Media
Mar 2, 2024
  • 5.5 MB

    Taille de fichier

  • Android 4.4+

    Android OS

À propos de Kilimo Biashara

App inayotoa mafunzo ya Kilimo Biashara katika nyanja mbalimbali za kilimo

App inayotoa mafunzo ya Kilimo Biashara katika nyanja mbalimbali kama vile Biashara, Teknolojia, Mapishi, Ufugaji, Sanaa na Kilimo.

.

.

Tunatoa mafunzo kwa kuzingatia fursa zinazomzunguka mtu yeyote hasa wa kima cha chini. Lengo letu ni kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato kupitia fursa mbalimbali zilipo katika mazingira yetu.

.

.

Mategemeo yetu utanufaika kwa mafunzo yetu ambayo tunawasilisha kwa njia ya Makala Mtandaoni, Majarida na Video.

.

.

Pia unaweza kututembelea katika Site Web yetu kwa kuandika www.kilimobiashara.org . Mafunzo yote mtandaoni ni bure yaani (App na Website) isipokua Majarida 'yanauzwa'.

Tuwasiliane kwa ajili ya Maoni, Ushauri na Mapendekezo kupitia mawasiliano yetu.

Courriel : agrotanzania.care@gmail.com

Whatsapp : +255 762 799 080

.

****************************************************** **************

Solutions Android

Conçu par;

Solutions Android Mshindo

Wanging'ombe

Njombe.

Whatsapp : +255 762 799 080

Courriel : agrotanzania.care@gmail.com

Voir plusVoir moins

What's new in the latest 1.3.7

Last updated on Mar 2, 2024
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

Téléchargement super rapide et sûr via l'application APKPure

Un clic pour installer les fichiers XAPK/APK sur Android!

Téléchargement APKPure