Tentang Kilimo Biashara
Aplikasi inayotoa mafunzo ya Kilimo Biashara katika nyanja mbalimbali za kilimo
Aplikasi inayotoa mafunzo ya Kilimo Biashara katika nyanja mbalimbali kama vile Biashara, Teknolojia, Mapishi, Ufugaji, Sanaa na Kilimo.
.
.
Tunatoa mafunzo kwa kuzingatia fursa zinazomzunguka mtu yeyote hasa wa kima cha chini. Lengo letu ni kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato kupitia fursa mbalimbali zilipo katika mazingira yetu.
.
.
Mategemeo yetu utanufaika kwa mafunzo yetu ambayo tunawasilisha kwa njia ya Makala Mtandaoni, Majarida na Video.
.
.
Pia unaweza kututembelea katika Website yetu kwa kuandika www.kilimobiashara.org . Mafunzo yote mtandaoni ni bure yaani (Aplikasi dan Situs Web) isipokua Majarida 'yanauzwa'.
Tuwasiliane kwa ajili ya Maoni, Ushauri na Mappendekezo kupitia mawasiliano yetu.
Email: agrotanzania.care@gmail.com
WhatsApp: +255 762 799 080
.
************************************************** ***************
Solusi Android
Dirancang oleh;
Solusi Android Mshindo
Wanging'ombe
Njombe.
WhatsApp: +255 762 799 080
Email: agrotanzania.care@gmail.com
What's new in the latest 1.3.7
Informasi APK Kilimo Biashara
Versi lama Kilimo Biashara
Kilimo Biashara 1.3.7
Kilimo Biashara 1.3.6
Kilimo Biashara 1.3.0
Kilimo Biashara 1.2.9
Kilimo Biashara Alternatif
Pengunduhan Super cepat dan aman melalui aplikasi APKPure
Sekali klik untuk menginstal file XAPK/APK di Android!