About Kilimo Biashara
App inayotoa mafunzo ya Kilimo Biashara katika nyanja mbalimbali za kilimo
App inayotoa mafunzo ya Kilimo Biashara katika nyanja mbalimbali kama vile Biashara, Teknolojia, Mapishi, Ufugaji, Sanaa na Kilimo.
.
.
Tunatoa mafunzo kwa kuzingatia fursa zinazomzunguka mtu yeyote hasa wa kima cha chini. Lengo letu ni kujikwamua kimaisha kwa kuongeza kipato kupitia fursa mbalimbali zilipo katika mazingira yetu.
.
.
Mategemeo yetu utanufaika kwa mafunzo yetu ambayo tunawasilisha kwa njia ya Makala Mtandaoni, Majarida na Video.
.
.
Pia unaweza kututembelea katika Website yetu kwa kuandika www.kilimobiashara.org . Mafunzo yote mtandaoni ni bure yaani (App na Website) isipokua Majarida 'yanauzwa'.
Tuwasiliane kwa ajili ya Maoni, Ushauri na Mapendekezo kupitia mawasiliano yetu.
Email: agrotanzania.care@gmail.com
WhatsApp: +255 762 799 080
.
*****************************************************************
Android Solutions
Designed by;
Mshindo Android Solutions
Wanging'ombe
Njombe.
WhatsApp: +255 762 799 080
Email: agrotanzania.care@gmail.com
What's new in the latest 1.3.7
Kilimo Biashara APK Information
Old Versions of Kilimo Biashara
Kilimo Biashara 1.3.7
Kilimo Biashara 1.3.6
Kilimo Biashara 1.3.0
Kilimo Biashara 1.2.9
Kilimo Biashara Alternative
Super Fast and Safe Downloading via APKPure App
One-click to install XAPK/APK files on Android!