Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16

Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16

Robert Londo
Feb 1, 2023
  • 10.0

    1 Ulasan

  • 7.7 MB

    Ukuran file

  • Android 4.1+

    Android OS

Tentang Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16

Nyimbo za Tenzi za Rohoni toleo jipya lenye tenzi 161 lalu nyimbo za dini.

Aplikasi hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.

Aplikasi hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini.

Pia app hii ina ala za nyimbo ambazo unaweza kusikipiliza pindi unapoimba bila kuwa na intaneti (Offline)

Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.

Wakolosai 3:16

FITUR

Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.

Ala za tenzi bila intaneti (Offline)

Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.

Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote

Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo

Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya

Kuchagua aina ya fonti za aya

Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti

Tampilkan Selengkapnya

What's new in the latest 2.4.6

Last updated on Feb 1, 2023
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Tampilkan Selengkapnya

Video dan tangkapan layar

  • Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 poster
  • Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 screenshot 1
  • Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 screenshot 2
  • Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 screenshot 3
  • Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 screenshot 4
ikon APKPure

Pengunduhan Super cepat dan aman melalui aplikasi APKPure

Sekali klik untuk menginstal file XAPK/APK di Android!

Unduh APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies