Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16
Giới thiệu về Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16
Nyimbo za Tenzi za Rohoni toleo jipya lenye tenzi 161 na nyimbo za dini.
Ứng dụng hii inakuwezesha kupata nyimbo za invili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.
App hii ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya. Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini.
Ứng dụng pia hii ina ala za nyimbo ambazo unaweza kusikipiliza pindi unapoimba bila kuwa na intaneti (Ngoại tuyến)
Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.
Wakolosai 3:16
CÁC TÍNH NĂNG
★ Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.
★ Ala za tenzi bila intaneti (Ngoại tuyến)
★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.
★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote
★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za invili au nyimbo za dini uzipendazo
★ Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya
★ Kuchagua aina ya fonti za aya
★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za invili kwa kufuata alfabeti
What's new in the latest 2.4.6
Thông tin APK Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16
Phiên bản cũ của Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 2.4.6
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 2.4.5
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 2.4.4
Tenzi za Rohoni: Mpya tenzi 16 2.4.3
Tải xuống siêu nhanh và an toàn thông qua Ứng dụng APKPure
Một cú nhấp chuột để cài đặt các tệp XAPK/APK trên Android!