Chama Cha Mapinduzi

Rightclick Apps Tanzania
2015年12月26日
  • 604.6 KB

    ファイルサイズ

  • Android 4.0.3+

    Android OS

このChama Cha Mapinduziについて

ベータ版アプリケーションRASMI屋のCCMクワのajili屋wanachama woteわCCM duniani小手。

Mwanachama wa Chama cha mapinduzi jisajili hapa kwa kujaza taarifa zako sahihi na pale zitakapothibitishwa utaweza kutumia mambo yote yaliomo ndani, Watumiaji wa application hii ni wanachama wa CCM pekee, Hii inawahusu wanachama walisajiliwa mpaka kufikia sasa au watakaosajiliwa baadae katika matawi mbalimbali ya CCM Tanzania au nje ya nchi. Tafadhali kama wewe ni kiongozi wa tawi(mwenyekiti na katibu),kata(mwenyekiti na katibu),wilaya(mwenyekiti,katibu na vingine vyote),mkoa(mwenyekiti na katibu na vingine vyote),taifa,vijana(taifa) unaruhusiwa kuchagua kama kiongozi wa chama, viongozi wengine wote ambao hampo katika nyadhifa hizo kwa sasa msijaze kuwa ni viongozi.
もっと見る隠す

最新バージョン 0.071 の更新情報

Last updated on 2015-12-26
Beta Application ya CCM Tanzania Bado ipo katika hatua za awali kwa sasa unajisajili na kupata taarifa mbalimbali rasmi kutoka CCM kupitia tovuti ya chama www.ccm.or.tz

Chama Cha Mapinduziの旧バージョン

APKPureアプリで超高速かつ安全にダウンロード

Android で XAPK/APK ファイルをワンクリックでインストール!

ダウンロード APKPure