Jifunze Kupika Leo (Jifunze Mapishi)

Mzansi Inc za
2018年10月25日
  • 15.3 MB

    ファイルサイズ

  • Android 4.2+

    Android OS

このJifunze Kupika Leo (Jifunze Mapishi)について

Pakua App hii Bure、Ujifunze Kupika Vitu Vipya kuhusu地図を表示する

Pakua App hii Bure Kabisa Ujifunze Kupika Vitu Vipya.

Hii ni App ya kiswahili Ambayo inatoa ujuzi juu ya kupika vyakula mbali mbali vya kiafrika na vya Kizungu.

Kupitia App hii utajifunza kupika kila kitu kwa maana "JIFUNZE KUPIKA LEO" Ndiyo nyumba ya Mapishi Tanzania.

Kupitia App Hii Utajifunza Yafuatayo:-

Jinsi ya kupika kwa kiswahili

jinsi ya kupika Pilau

Jinsi ya kupika Supu

Jinsi ya kupika vyakula vya wageni.

Jinsi ya kutengeneza Jiuce.

Juice ya tende

Juice na nanasi/parachichi/matunda yote.

Jinsi ya Kutengeneza Milkshake.

Jinsi ya kupika vyakula vyaRamadhani.

Vyakula vya kiswahili

Vyakula vya kizanzibar

Vyakula vya Ramadhani

Vyakula vya kihaya

vyakula vya kizungu

もっと見る隠す

最新バージョン 1.2 の更新情報

Last updated on 2018-10-26
Everything is now fixed

Jifunze Kupika Leo (Jifunze Mapishi)の旧バージョン

APKPureアプリで超高速かつ安全にダウンロード

Android で XAPK/APK ファイルをワンクリックでインストール!

ダウンロード APKPure