Jifunze Kupika Leo (Jifunze Mapishi)
Giới thiệu về Jifunze Kupika Leo (Jifunze Mapishi)
Pakua App hii Bure, Ujifunze Kupika Vitu Vipya kuhusu Mapishi kwa kiswahili
Pakua App hii Bure Kabisa Ujifunze Kupika Vitu Vipya.
Hii ni App ya kiswahili Ambayo inatoa ujuzi juu ya kupika vyakula mbali mbali vya kiafrika na vya Kizungu.
Kupitia App hii utajifunza kupika kila kitu kwa maana "JIFUNZE KUPIKA LEO" Ndiyo nyumba ya Mapishi Tanzania.
Kupitia App Hii Utajifunza Yafuatayo:-
Jinsi ya kupika kwa kiswahili
jinsi ya kupika Pilau
Jinsi ya kupika Supu
Jinsi ya kupika vyakula vya wageni.
Jinsi ya kutengeneza Jiuce.
Juice ya tende
Juice na nanasi/parachichi/matunda yote.
Jinsi ya Kutengeneza Milkshake.
Jinsi ya kupika vyakula vyaRamadhani.
Vyakula vya kiswahili
Vyakula vya kizanzibar
Vyakula vya Ramadhani
Vyakula vya kihaya
vyakula vya kizungu
What's new in the latest 1.2
Thông tin APK Jifunze Kupika Leo (Jifunze Mapishi)
Phiên bản cũ của Jifunze Kupika Leo (Jifunze Mapishi)
Jifunze Kupika Leo (Jifunze Mapishi) 1.2
Jifunze Kupika Leo (Jifunze Mapishi) 1.0
Xem thêm từ Mzansi Inc za
Tải xuống siêu nhanh và an toàn thông qua Ứng dụng APKPure
Một cú nhấp chuột để cài đặt các tệp XAPK/APK trên Android!