JATU

  • 4.5 MB

    파일 크기

  • Android 4.0.3+

    Android OS

JATU 정보

젠가 afya tokomeza umasikini

Jatu ni kampuni ya umma inayo unganisha wakulima maeneo mbali mbali Tanzania na kuwawezesha kulima kisasa, na baada ya mavuno kampuni inanunua mazao yote na kuandaa bidhaa ambazo huuzwa kwa wateja/wanachama moja kwa moja kwa mfumo wa masoko ya mtandao. Mfumo ambao unaondoa madalali katika biashara ya mazao na chakula. Kampuni imesajiliwa kwa mujibu wa sheria ya mwaka 2002 Tanzania kwa usajili namba 130452, kampuni imesajiliwa kama mlipa kodi kwa namba 132-718-008, pia kampuni ina leseni ya biashara yenye nambari 2357184. Bidhaa zote ambazo kampuni inauza, zimethibitishwa na mamlaka ya chakula na dawa Tanzania (TFDA) kwamba ni chakula bora kwa matumizi ya binadamu.
더 보기접기

What's new in the latest 1.0

Last updated on 2019-05-29
Update Terms And Conditions

JATU의 오래된 버전

APKPure 앱을통한매우빠르고안전한다운로드

한번의클릭으로 Android에 XAPK/APK 파일을설치할수있습니다!

다운로드 APKPure