APKPure에서 안전하고 빠른 APK 다운로드
APKPure는 바이러스 없는 KISA CHA NABII ADAM APK 다운로드를 위해 서명 확인을 사용합니다.
KISA CHA NABII ADAM
KISA CHA NABII ADAM
Mawaidha ya kiislamu kuhusu kisa cha nabii Adam
Mawaidha yalitolewa na sheikh Othman Maalim.Mawaidha haya yanamuwezesha msikilizaji kujua historia ya Mwanadam kabla ya kuumbwa kwake.Mawaidha yanaelezea jinsi mwanadam alivyoumbwa.Mawaidha yanaelezea namna gani binaadam walivyoanza kutenda maovue.Mawadha ya kiswahili fasaha humuwezesha msikilizaji kujua karibia jitihada zote za İblisi katika kumpoteza na jinsi ya kuepukana na Jini hilo.Akiwa nabii wa kwanza,nabii adam anaelezewa jinsi alivyo Mkosea muumba wake(Mwenyezi Mungu),alivyoadhibiwa,alivyotubu na alivyosamehewa na Allah.