Lugalo Animal Care tunajihusisha na utoaji wa elimu ya ufugaji
Ungana nasi katika dondoo za elimu ya ufugaji bora na wenye matokeo chanya, utapata elimu ya ufugaji juu ya ¼ 1.Misingi ya Ufugaji 2. Magonjwa Na Matibabu 3. Vyakula vya Mifugo 4. Matumizi ya Dawa, lengo ni kukuwezesha wewe mfugaji kuweza ku 누파이카 나 shughuli za ufugaji, Elimu Yetu inalega wafugaji wa aina zote kwa maana ya wafugaji wadogo na wafugaji wakubwa lakini pia elimu Yetu imejikita juu ya ufugaji wa wanyama wote wafugwao hivyo tunakukaribisha sana katika darasa letu.