Lugalo Hayvan Bakımı Tunajihusisha ve Autoaji ve Elimu ya Ufugaji
Ungana nasi katika dondoo za ufugaji bora na wenye matokeo chanya, utapata elimu ya ufugaji juu ya ÷ 1.Misingi ya Ufugaji 2. Magonjwa Na Matibabu 3. Vyakula vya Mifugo 4. Matumizi ya Dawa, lengo ni kukuwezesha wewe mfugaji kuweza kunufaika na Shughuli za ufugaji, Elimu yetu inalega wafugaji wa aina zote kwa maana ya wafugaji wadogo na wafugaji wakubwa lakini pia elemu yetu imejikita juu ya ufugaji ve wanyama wote wafugwao hivyo tunakukaribisha sana katika darasa letu.