Lugalo Animal Care cá ngừ và utoaji wa elimu ya ufugaji
Ungana nasi katika dondoo za elimu ya ufugaji bora na wenye matokeo chanya, utapata elimu ya ufugaji juu ya 1.Misingi ya Ufugaji 2. Magonjwa Na Matibabu 3. Vyakula vya Mifugo 4. Matumizi ya Dawa, lengo ni kukuwezesha wewe mfugaji kuweza kunufaika na shughuli za ufugaji, Elimu yetu inalega wafugaji wa aina zote kwa maana ya wafugaji wadogo na wafugaji wakubwa lakini pia elimu yetu imejikita juu ya ufugaji wa wanyama wote wafugwao hivyo cá ngừakukaribisha sana katika darasa letu.