Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho

Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho

RaJoApps
Jun 7, 2018
  • 7.3 MB

    파일 크기

  • Android 4.0.3+

    Android OS

Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho 정보

Vunjambavu kwa Vituko vya Picha,SMS & Video mpya za Vichekesho kila siku.

Vichekesho Vipya - Picha,Video & SMS Za Vichekesho

App Hii imetengenezwa kwa lengo la kukufurahisha, kukuburudisha na kukuvunja mbavu muda wowote na mahali popote kwani tumekukusanyia vituko na Vioja vya kila aina katika category za:-

Video za Vichekesho

Picha za vichekesho na

SMS za Vichekesho.

Vichekesho toka kwa wasanii maarufu kama Joti,Mzee ,Uswege Murderer,Majuto,Mkaliwenu,Ebitoke,Mpoki,Masanja,MC Pilipili,Kingwendu,Bambo,Katarina wa Karatu,Madenge,Mkude Simba,Bwakila,Mau,Kinyambe,Eric Omondi na wengine kibao vinapatikana hapa..!

ZAIDI:

Tutakupatia Vichekesho vipya kila siku na Unaweza kushare Videos, Picha na SMS.

PICHA ZA VICHEKESHO:

Unaweza KuDOWNLOAD picha yeyote inayopatikana kwenye Vichekesho App na ukawanayo kwenye simu yako.

Utapatiwa Majibu ya Maswali Yote yafuatayo, Kama unahitaji kupata..

* Picha mbalimbali za Vichekesho

* Picha kali za vichekesho

* Picha za kuchekesha Ulaya, India, Kenya Pakistani, Uarabuni na Duniani Pote.

* Picha za Vichekesho Download For Free

* Picha za Vichekesho Vya Whatsapp

Unaweza kuset picha yeyote kama Background image ya simu yako na Pia,

Unaweza kushare na marafiki picha kwenye mtandao wowote kama Whatsapp, facebook, twitter, instagram n.k

SMS ZA VICHEKESHO

Katika Section Hii ya Message / SMS za vituko vya kufurahisha,

Unaweza Kutuma SMS ya kichekesho chochote kwa Mpenzi, Rafiki, mshikaji au mtu yeyote ambaye utapenda kushare nae katika mfumo wa message za kawaida kabisaaa

SMS za Utani,

SMS kwa Rafiki za Kumchekesha

Meseji za Vichekesho Vunja mbavu

Sms za Vichekesho za mapenzi

VIDEO ZA VICHEKESHO.

Vichekesho App inakupa uwezo wa Kuenjoy Video za Vichekesho mbali mbali kama,

Vichekesho Vya Whatsapp

Vichekesho Vya Instagram

Vichekesho vya Facebook

Vichekesho Vya Instagram na Vingine kibao!.

Features zitakazoongezwa hivi karibuni katika Update ijayo ni

Kudownload Video za Vichekesho

Download Video za Youtube za vichekesho na vunjambavu.

Pia unaweza kushare video hizo bila ya kuwa na shida yeyote kabisa.

FAVOURITES

You may share these funny text, sms, Videos and images with friends through Whatsapp, facebook, instagram, etc

Be ready to get Daily Udates and free download service integrated in our app.

DISCLAIMER:

We do not own or host any of these Images, SMS or videos. They are publicly available for everyone on YouTube and other Content Sharing Sites.

더 보기

What's new in the latest 2.1.0

Last updated on 2018-06-07
Performance Improvement
더 보기

비디오 및 스크린 샷

  • Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho 포스터
  • Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho 스크린샷 1
  • Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho 스크린샷 2
  • Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho 스크린샷 3
  • Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho 스크린샷 4
  • Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho 스크린샷 5
  • Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho 스크린샷 6
  • Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho 스크린샷 7
APKPure 아이콘

APKPure 앱을통한매우빠르고안전한다운로드

한번의클릭으로 Android에 XAPK/APK 파일을설치할수있습니다!

다운로드 APKPure
thank icon
사용자 환경을 개선하기 위해 이 웹 사이트의 쿠키 및 기타 기술을 사용합니다.
이 페이지의 링크를 클릭하면 당사의 개인 정보 보호 정책쿠키 정책에 동의하는 것입니다.
더 알아보기