Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho

Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho

RaJoApps
07/06/2018
  • 7.3 MB

    Размер файла

  • Android 4.0.3+

    Android OS

Oписание Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho

Vunjambavu ква Vituko Vya Пич, SMS & Видео mpya ZA Vichekesho кил SIKU.

Vichekesho Vipya - Picha,Video & SMS Za Vichekesho

App Hii imetengenezwa kwa lengo la kukufurahisha, kukuburudisha na kukuvunja mbavu muda wowote na mahali popote kwani tumekukusanyia vituko na Vioja vya kila aina katika category za:-

Video za Vichekesho

Picha za vichekesho na

SMS za Vichekesho.

Vichekesho toka kwa wasanii maarufu kama Joti,Mzee ,Uswege Murderer,Majuto,Mkaliwenu,Ebitoke,Mpoki,Masanja,MC Pilipili,Kingwendu,Bambo,Katarina wa Karatu,Madenge,Mkude Simba,Bwakila,Mau,Kinyambe,Eric Omondi na wengine kibao vinapatikana hapa..!

ZAIDI:

Tutakupatia Vichekesho vipya kila siku na Unaweza kushare Videos, Picha na SMS.

PICHA ZA VICHEKESHO:

Unaweza KuDOWNLOAD picha yeyote inayopatikana kwenye Vichekesho App na ukawanayo kwenye simu yako.

Utapatiwa Majibu ya Maswali Yote yafuatayo, Kama unahitaji kupata..

* Picha mbalimbali za Vichekesho

* Picha kali za vichekesho

* Picha za kuchekesha Ulaya, India, Kenya Pakistani, Uarabuni na Duniani Pote.

* Picha za Vichekesho Download For Free

* Picha za Vichekesho Vya Whatsapp

Unaweza kuset picha yeyote kama Background image ya simu yako na Pia,

Unaweza kushare na marafiki picha kwenye mtandao wowote kama Whatsapp, facebook, twitter, instagram n.k

SMS ZA VICHEKESHO

Katika Section Hii ya Message / SMS za vituko vya kufurahisha,

Unaweza Kutuma SMS ya kichekesho chochote kwa Mpenzi, Rafiki, mshikaji au mtu yeyote ambaye utapenda kushare nae katika mfumo wa message za kawaida kabisaaa

SMS za Utani,

SMS kwa Rafiki za Kumchekesha

Meseji za Vichekesho Vunja mbavu

Sms za Vichekesho za mapenzi

VIDEO ZA VICHEKESHO.

Vichekesho App inakupa uwezo wa Kuenjoy Video za Vichekesho mbali mbali kama,

Vichekesho Vya Whatsapp

Vichekesho Vya Instagram

Vichekesho vya Facebook

Vichekesho Vya Instagram na Vingine kibao!.

Features zitakazoongezwa hivi karibuni katika Update ijayo ni

Kudownload Video za Vichekesho

Download Video za Youtube za vichekesho na vunjambavu.

Pia unaweza kushare video hizo bila ya kuwa na shida yeyote kabisa.

FAVOURITES

You may share these funny text, sms, Videos and images with friends through Whatsapp, facebook, instagram, etc

Be ready to get Daily Udates and free download service integrated in our app.

DISCLAIMER:

We do not own or host any of these Images, SMS or videos. They are publicly available for everyone on YouTube and other Content Sharing Sites.

Ещё

Что нового в последней версии 2.1.0

Last updated on 2018-06-07
Performance Improvement
Ещё

Видео и Скриншоты

  • Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho постер
  • Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho скриншот 1
  • Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho скриншот 2
  • Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho скриншот 3
  • Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho скриншот 4
  • Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho скриншот 5
  • Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho скриншот 6
  • Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho скриншот 7

Информация Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho APK

Последняя Версия
2.1.0
Категория
Развлечения
Android OS
Android 4.0.3+
Размер файла
7.3 MB
Разработчик
RaJoApps
Безопасная и Быстрая Загрузка APK на APKPure
APKPure позволяет легко и безопасно загружать Vichekesho App - Picha, Video & SMS Za Vichekesho APK с проверкой подписи.
APKPure иконка

Супер Быстрая и Безопасная Загрузка через Приложение APKPure

Один клик для установки XAPK/APK файлов на Android!

Скачать APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies