About Malezi Ya Watoto
Find out about early childhood development from infancy
Program hii inatoa huduma ya ushauri na kuwajengea uelewa wazazi, walezi na jamii kwa ujumla kuhusiana na malezi bora ya watoto wetu na kuwawezesha:
- Kuelewa makuzi, malezi na maendeleo ya watoto katika hatua mbalimbali za ukuaji wao.
- Kuelewa namna ya kumuandaa vyema mtoto kukabiliana na changamoto za maisha kwa kumpa malezi sahihi katika hatua za ukuaji wake.
Kama una maswali, maoni, ushauri au unahitaji msaada tafadhali wasiliana nasi kupitia [email protected]
What's new in the latest 1.0
Last updated on Feb 5, 2020
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Malezi Ya Watoto APK Information
Safe & Fast APK Downloads on APKPure
APKPure uses signature verification to ensure virus-free Malezi Ya Watoto APK downloads for you.

Super Fast and Safe Downloading via APKPure App
One-click to install XAPK/APK files on Android!