Jinsi Ya Kufanikiwa

Jinsi Ya Kufanikiwa

Appcraft101
Feb 20, 2020
  • 3.0 MB

    Saiz Fail

  • Android 4.0+

    Android OS

Mengenai Jinsi Ya Kufanikiwa

Download hii app na ujue njia za kufanikiwa kwenye maisha, kibiashara na kielimu

Ni matarajio ya kila binadamu anyeishi chini ya jua na mwezi kutaka kufanikiwa maishani mwake, kuna baadhi ambao hufuzu kufanikiwa na wengine hufeli kabisa.Kila binadamu ameumbwa na kiu ya kufanikiwa katika kila kitu anachofanya. Mafanikio ndio kilele cha mlima mkubwa wa maisha ambao umejengwa kwa misingi na ngazi za mihangaiko na mitihani ambayo unapaswa kuivuka ili upumzike kwenye kilele hicho.

Simulizi kwa Undani

Kwa bahati mbaya, unaposema ‘mafanikio’ wengi hufikiria kuhusu ‘utajiri’. Lakini ukweli ni kuwa kuna tofauti kati ya kuwa tajiri na kufanikiwa kiuchumi. Unaweza kuwa tajiri lakini ukawa bado hujafanikiwa. Kwa kuwa watu wanawaza utajiri kuwa ndio kigezo cha mafanikio hujikuta wakijiingiza kwenye vitendo vya ajabu kwa lengo la kujizolea mali lakini mwisho huwa wanagundua kuwa hawajafanikiwa japo jamii inahisi wamefanikiwa.

Umuhimu wa App hii

Utajua jinsi ya kufanikiwa

Jinsi ya kufanikiwa kibiashara

Jinsi ya kufanikiwa katika biashara

Jinsi ya kufanikiwa kwenye maisha

Jinsi ya kufanikiwa katika umri mdogo

Jinsi ya kufanikiwa kiroho na kimwili

Jinsi ya kufanikiwa kibiblia

Jinsi ya kufanikiwa kimziki

Jinsi ya kufanikiwa katika elimu

Jinsi ya kufanikiwa kielimu

Ushauri wa maisha

Jinsi ya kuishi

Jinsi ya kupata pesa.

Jinsi ya kutumia pesa

Tunjukkan Lagi

What's new in the latest 2.0

Last updated on 2020-02-20
Minor bug fixed
Tunjukkan Lagi

Video dan tangkapan skrin

  • Jinsi Ya Kufanikiwa penulis hantaran
  • Jinsi Ya Kufanikiwa syot layar 1
  • Jinsi Ya Kufanikiwa syot layar 2
  • Jinsi Ya Kufanikiwa syot layar 3
  • Jinsi Ya Kufanikiwa syot layar 4
  • Jinsi Ya Kufanikiwa syot layar 5

Versi lama Jinsi Ya Kufanikiwa

APKPure ikon

Muat Turun Super Pantas dan Selamat melalui Apl APKPure

Satu klik untuk memasang fail XAPK/APK pada Android!

Muat Turun APKPure
thank icon
Kami gunakan kuki dan teknologi yang lain pada laman web ini untuk menambah baik pengalaman anda.
Dengan klik mana-mana pautan pada halaman ini, anda bersetuju dengan Dasar Privasi dan Dasar Kuki kami.
Baca Yang Selanjutnya