Jinsi Ya Kufanikiwa

Jinsi Ya Kufanikiwa

Appcraft101
Feb 20, 2020
  • 3.0 MB

    파일 크기

  • Android 4.0+

    Android OS

Jinsi Ya Kufanikiwa 정보

다운로드 hii app na ujue njia za kufanikiwa kwenye maisha, kibiashara na kielimu

Ni matarajio ya kila binadamu anyeishi chini ya jua na mwezi kutaka kufanikiwa maishani mwake, kuna baadhi ambao hufuzu kufanikiwa na wengine hufeli kabisa.Kila binadamu ameumbwa na kiu ya kufanikiwa katika kila kitu anachofanya. Mafanikio ndio kilele cha mlima mkubwa wa maisha ambao umejengwa kwa misingi na ngazi za mihangaiko na mitihani ambayo unapaswa kuivuka ili upumzike kwenye kilele hicho.

Simulizi kwa Undani

Kwa bahati mbaya, unaposema ‘mafanikio’ wengi hufikiria kuhusu ‘utajiri’. Lakini ukweli ni kuwa kuna tofauti kati ya kuwa tajiri na kufanikiwa kiuchumi. Unaweza kuwa tajiri lakini ukawa bado hujafanikiwa. Kwa kuwa watu wanawaza utajiri kuwa ndio kigezo cha mafanikio hujikuta wakijiingiza kwenye vitendo vya ajabu kwa lengo la kujizolea mali lakini mwisho huwa wanagundua kuwa hawajafanikiwa japo jamii inahisi wamefanikiwa.

Umuhimu wa App hii

Utajua jinsi ya kufanikiwa

Jinsi ya kufanikiwa kibiashara

Jinsi ya kufanikiwa katika biashara

Jinsi ya kufanikiwa kwenye maisha

Jinsi ya kufanikiwa katika umri mdogo

Jinsi ya kufanikiwa kiroho na kimwili

Jinsi ya kufanikiwa kibiblia

Jinsi ya kufanikiwa kimziki

Jinsi ya kufanikiwa katika elimu

Jinsi ya kufanikiwa kielimu

Ushauri wa maisha

Jinsi ya kuishi

Jinsi ya kupata pesa.

Jinsi ya kutumia pesa

더 보기

What's new in the latest 2.0

Last updated on 2020-02-20
Minor bug fixed
더 보기

비디오 및 스크린 샷

  • Jinsi Ya Kufanikiwa 포스터
  • Jinsi Ya Kufanikiwa 스크린샷 1
  • Jinsi Ya Kufanikiwa 스크린샷 2
  • Jinsi Ya Kufanikiwa 스크린샷 3
  • Jinsi Ya Kufanikiwa 스크린샷 4
  • Jinsi Ya Kufanikiwa 스크린샷 5

Jinsi Ya Kufanikiwa의 오래된 버전

APKPure 아이콘

APKPure 앱을통한매우빠르고안전한다운로드

한번의클릭으로 Android에 XAPK/APK 파일을설치할수있습니다!

다운로드 APKPure
thank icon
사용자 환경을 개선하기 위해 이 웹 사이트의 쿠키 및 기타 기술을 사용합니다.
이 페이지의 링크를 클릭하면 당사의 개인 정보 보호 정책쿠키 정책에 동의하는 것입니다.
더 알아보기