Jinsi Ya Kufanikiwa

Jinsi Ya Kufanikiwa

Appcraft101
Feb 20, 2020
  • 3.0 MB

    Bestandsgrootte

  • Android 4.0+

    Android OS

Over Jinsi Ya Kufanikiwa

Download hii app na ujue njia za kufanikiwa kwenye maisha, kibiashara na kielimu

Ni matarajio ya kila binadamu anyeishi chini ya jua na mwezi kutaka kufanikiwa maishani mwake, kuna baadhi ambao hufuzu kufanikiwa na wengine hufeli kabisa.Kila binadamu ameumbwa na kiu ya kufanikiwa katika kila kitu anachofanya. Mafanikio ndio kilele cha mlima mkubwa wa maisha ambao umejengwa kwa misingi na ngazi za mihangaiko na mitihani ambayo unapaswa kuivuka ili upumzike kwenye kilele hicho.

Simulizi kwa Undani

Kwa bahati mbaya, unaposema ‘mafanikio’ wengi hufikiria kuhusu ‘utajiri’. Lakini ukweli ni kuwa kuna tofauti kati ya kuwa tajiri na kufanikiwa kiuchumi. Unaweza kuwa tajiri lakini ukawa bado hujafanikiwa. Kwa kuwa watu wanawaza utajiri kuwa ndio kigezo cha mafanikio hujikuta wakijiingiza kwenye vitendo vya ajabu kwa lengo la kujizolea mali lakini mwisho huwa wanagundua kuwa hawajafanikiwa japo jamii inahisi wamefanikiwa.

Umuhimu wa App hii

Utajua jinsi ya kufanikiwa

Jinsi ya kufanikiwa kibiashara

Jinsi ya kufanikiwa katika biashara

Jinsi ya kufanikiwa kwenye maisha

Jinsi ya kufanikiwa katika umri mdogo

Jinsi ya kufanikiwa kiroho na kimwili

Jinsi ya kufanikiwa kibiblia

Jinsi ya kufanikiwa kimziki

Jinsi ya kufanikiwa katika elimu

Jinsi ya kufanikiwa kielimu

Ushauri wa maisha

Jinsi ya kuishi

Jinsi ya kupata pesa.

Jinsi ya kutumia pesa

Meer Info

What's new in the latest 2.0

Last updated on 2020-02-20
Minor bug fixed
Meer Info

Video's en screenshots

  • Jinsi Ya Kufanikiwa-poster
  • Jinsi Ya Kufanikiwa screenshot 1
  • Jinsi Ya Kufanikiwa screenshot 2
  • Jinsi Ya Kufanikiwa screenshot 3
  • Jinsi Ya Kufanikiwa screenshot 4
  • Jinsi Ya Kufanikiwa screenshot 5

Jinsi Ya Kufanikiwa APK -informatie

Laatste versie
2.0
Categorie
Zakelijk
Android OS
Android 4.0+
Bestandsgrootte
3.0 MB
Ontwikkelaar
Appcraft101
Veilige en snelle APK Downloads op APKPure
APKPure gebruikt handtekeningverificatie om virusvrije Jinsi Ya Kufanikiwa APK downloads voor u te garanderen.

Oude versies van Jinsi Ya Kufanikiwa

APKPure-icoon

Supersnel en veilig downloaden via de APKPure-app

Eén klik om XAPK/APK-bestanden op Android te installeren!

Downloaden APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies