Updated on Aug 26, 2019
MUKI- Mfumo wa Kujifunza Kielektroniki
Mfumo huu utawawezesha madiwani, wawezeshaji na wanafunzi wa Chuo cha Serikali za Mitaa (Hombolo - Dodoma), kujifunza mada mbalimbali kupitia njia ya kielektroniki au elimu masafa. Mfumo huu utawezesha kusoma mada mbalimbali popote walipo na kwa muda wowote.