About Nijulishe
Let me know it's an app aimed at protecting and facilitating online shopping.
Nijulishe ni programu ambayo inadhumuni la kuwasaidia wanunuzi wa bidhaa mitandaoni kununua bidhaa kwa usalama na haraka zaidi. Nijulishe pia atakusaidia kutuma mizigo kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa haraka na usalama.
Nijulishe inadhumuni la kukusaidia kwenye mambo yafuatayo :
1. Usalama wa pesa yako.
2. Uhakika wa kupata bidhaa kwa muda sahihi.
3. Kuokoa muda wa kufuatilia bidhaa.
Namna ya kutumia programu ya Nijulishe
1. Pakua Nijulishe na sanifu kwenye simu yako.
2. Jaza fomu ya maombi, kisha tuma.
3. Mtoa huduma atawasiliana na wewe ili kupata maelezo zaidi.
4. Kisha fanya vitu vingine wakati mtoa huduma anamalizia, baada ya muda utapata
mrejesho wa huduma yako.
5. Unapopakua programu hii unakubaliana na vigezo na masharti ya programu hii
Vigezo na Masharti:
1. Nijulishe itafanya kazi chini ya sheria na kanuni za nchi husika na kimataifa.
2. Nijulishe haitowajibika kwa uvunjaji sheria wowote utakaojitokeza kwa wateja wake.
3. Nijulishe itaanza kuwajibika pale tu bidhaa inapopokelewa na mtoa huduma weke, mpaka pale inapokabidhiwa kulingana na maelekezo ya mteja.
What's new in the latest 1.3.1
Nijulishe APK Information

Super Fast and Safe Downloading via APKPure App
One-click to install XAPK/APK files on Android!