Updated on Dec 11, 2025
Karibu sana! Kwenye toleo hili, pamoja na mambo mengine mengi, tumeboresha yafuatayo:
• Muonekano wa Edge-to-Edge unaoendelea hadi kingo za skrini
• Utafutaji wa Biblia umeongezeka na uelekezaji sahihi wa mstari
• Uangalizi bora wa matoleo mapya
• Kasi ya ufungaji imeongezeka
• Matengenezo ya makosa na usalama
Asante kwa kutumia Nuru Yetu! Mchango na maoni yako hutusaidia kuendeleza programu hii.
Mungu akubariki sana
