About Rugema app
App ya vitabu vya dini katika lugha ya kiswahili
App ya Rugema ni mazalisho ya wanachuoni.com iliyoandaliwa kwa dhumuni la kusahilisha upatikanaji wa vitabu na makala za kielektronia kwenye simu za kisasa kwa wale ndugu zetu wanafunzi. Vitabu na makala hizo ni za wanachuoni zinazofasiriwa kutolewa kwa lugha ya kiarabu na kupelekwa kwa kiswahili.
Da'wah yetu
Da'wah yetu imejengwa juu ya Qur-aan, Sunnah kwa uelewa wa wema waliotangulia. Tunalingania katika:
Tasfiyah (kusafisha) itikadi na fikra mbalimbali zilizoenea kati ya watu, ili waislamu wote wawe na umoja, bi maana 'Aqiydah na manhaj moja
Tarbiyah (malezi) juu ya uelewa sahihi wa Qur-aan na Sunnah - nako ni kurejea katika uelewa wa Salaf-us-Swaalih wakati wote. Kwani hivo ndivyo tulivyoamrishwa na Allaah na Mtume Wake ('alayhis-Salaam).
Wa Swalla Allaahu 'alaa Nabiyyinaa Muhammad
What's new in the latest 1.1
Rugema app APK Information

Super Fast and Safe Downloading via APKPure App
One-click to install XAPK/APK files on Android!