Safe & Fast APK Downloads on APKPure
APKPure uses signature verification to ensure virus-free SMS ZA MAPENZI APK downloads for you.
SMS Za Mapenzi Kiswahili, pata maneno yenye kuvutia za mapenzi
Ongeza ladha kwenye mapenzi kwa kutumia maneno yenye kuvutia mno. Fanya mapenzi yenu yawe ya kufana kwa sms moto za mapenzi. Meseji za mapenzi haya yametungwa kwa ubunifu wa hali ya juu. Utapendezwa na matokeo ya kutumia sms haya ya mapenzi.
Utapata SMS kama:
- SMS za kuomba msamaha
- Kutongoza mpenzi
- Kutakiana usiku mwema
- SMS za Good morning
- Kutaniana
- SMS za I MISS YOU
- Kuchekesha
Karibu sana.. Enjoy
One-click to install XAPK/APK files on Android!