Soko Popote
4.0 and up
Android OS
About Soko Popote
Hii ni app ya kijanja inayokuwezesha kuuza na kununua bidhaa za aina zote
Soko popote ni application ambayo inakupa fursa ya kuuza na kununua bidhaa kutoka kwa wafanyabiashara na wanunuzi waaminifu kutoka Tanzania na Afrika mashariki, Tafuata soko la bidhaa yako kupita mtandao unaopendwa na watu wengi nchini. Tunakupa fursa ya kutangaza na kupata deals kwa bei nafuu kabisa ni sawa na bure.
Tafuta soko la bidhaa yako kupitia app hii na website yake inayopatikana kwa url ya http://sokopopote.com.
Punguza gharama ya kuwa mtumwa wa kuposti kwenye mitandao ya kijamii kila siku na kila wakati, Posti mara moja chukua link share kwenye magroup yako ili kuwafikia watu wengi kwa muda mfupi.
Pia pata uhakika wa wateja waaminifu kwa sababu tumewekeza kuitangaza app hii pamoja na website yake kupitia media, magazeti, matamasha na mitandao ya kijamii
What's new in the latest 1.0
Soko Popote APK Information
Super Fast and Safe Downloading via APKPure App
One-click to install XAPK/APK files on Android!