Safe & Fast APK Downloads on APKPure
APKPure uses signature verification to ensure virus-free SWT APK downloads for you.
SWT (Sema na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi)
Sema na Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tamisemi ni programu ya simu itakayowezesha wananchi kuwasaliana na waziri wa Tamisemi.
SWT inawezesha kutuma na kufuatilia Malalamiko, Mapendekezo, Maulizo na Pongezi moja kwa moja kwa Waziri wa Tamisemi.
One-click to install XAPK/APK files on Android!