TAHATU

TAHATU

SwahiliTech Team
Jun 2, 2017
  • 4.2 and up

    Android OS

About TAHATU

TAHATU is an association of mutual support in times of trouble and distress.

Chama cha TAHATU nichama cha kusaidiana wakati washida na raha, chama makazi yake ni Kibaha, Shirika la Elimu (KEC) sasa chama kinatumia mfumo wa kisasa wa kukusanya michango ya wanachama na kutunza kumbu kumbu. Chama kina jumla ya wanachama 900 hadi sasa.

Chama kimesajili wanachama wake wote na tegemezi wao. Wanachama wanaweza tumia mobile app kwa kutoa taarifa mbali mbali kwa viongozi,kuchangia midahalo inayoendelea ndani ya chama na kujua mapato na matumizi ya chama.

Wanachama wote watapoke ujumbe mfupi wa meseji kila mmoja wao anapofikwa na shida, wanachama watajadili mipango na mikakati kwa pamoja kupitia simu zao za mkononi, mfumo huu ni kwa wanachama tu walio sajiliwa na chama cha TAHATU.

Chama kitaweza endesha miradi yake yote kama kukodisha viti,maturubai kupangisha majengo na kadhalika kwa kutumia mfumo hivyo kuboresha zaidi pato la chama.

Tunakaribisha vyama vingine pia kuja kujifunza. Mfumo huu ni rahisi sana kuutumia kwani una lugha mbili ya Kiswahili na kingereza, bei yake ni shilingi 500,000 tu kwa chama.

Wasiliana na Noel Daniel kaaya kwa No 0621-809090 kwa anehitaji mfumo huu, pia kuna nafasi ya kuongezewa chochote mnachoitaji katika mfumo ili kuweza boresha chama.

Show More

What's new in the latest 1.3

Last updated on Jun 2, 2017
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!
Show More

Videos and Screenshots

  • TAHATU poster
  • TAHATU screenshot 1
  • TAHATU screenshot 2
  • TAHATU screenshot 3
  • TAHATU screenshot 4
  • TAHATU screenshot 5
  • TAHATU screenshot 6

TAHATU APK Information

Latest Version
1.3
Android OS
4.2 and up+
Developer
SwahiliTech Team
Safe & Fast APK Downloads on APKPure
APKPure uses signature verification to ensure virus-free TAHATU APK downloads for you.
APKPure icon

Super Fast and Safe Downloading via APKPure App

One-click to install XAPK/APK files on Android!

Download APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies