Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania

Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania

  • 8.2 MB

    فائل سائز

  • Android 4.1+

    Android OS

About Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania

Download Nyimbo Mpya Tanzania

Kama unapenda kusikiliza Nyimbo Mpya za Tanzania basi Nyubeat ni app nzuri Kwako, App hii inakupa uwezo wa kudownload pamoja na kusikiliza nyimbo mpya za Tanzania kwa urahisi na haraka kuliko chanzo chochote hapa Tanzania.

Kitu kizuri kuhusu App hii ni kuwa ni rahisi sana kutumia na utaweza kudownload nyimbo mpya kutoka kwa wasanii wote wa Tanzania, pia kuanzia leo usijali kuhusu nyimbo yoyote mpya kwani hata kabla haijafika redioni utapata taarifa notification kwa ajili ya kudownload nyimbo mpya moja kwa moja kupitia simu yako.

Kama wewe ni mpenzi wa nyimbo mpya za bongo flava, au nyimbo mpya za dini za Tanzania, au kama wewe ni mpenzi wa video mpya kutoka Tanzania basi App hii ni nzuri sana kwako.

App ya Nyubeat haina sehemu nyingi za kubonyeza kwani tunajua wewe ni mpenzi wa nyimbo hivyo unahitaji kupata unachotafuta. Kwa kutumia sehemu ya kutafuta unaweza kupata nyimbo yoyote kutoka Tanzania, iwe ni nyimbo za mwaka 2017 hadi mwaka 2019 zote utazipata kupitia app hii.

Kwa sasa bado tunaendelea kuboresha app hii na kuongeza vipengele vipya vitakavyo kusaidia kupata nyimbo mpya za Tanzania kwa haraka zaidi.

مزید دکھائیں

What's new in the latest 2.5

Last updated on 2020-01-05
Matangazo yamepunguzwa

Muoenakano umeboreshwa

Sasa changia kuondoa matangazo

Bugs Fix and Perfomance Improved
مزید دکھائیں

ویڈیوز اور اسکرین شاٹس

  • Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania کے لیے Android آفیشل ٹریلر
  • Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania اسکرین شاٹ 1
  • Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania اسکرین شاٹ 2
  • Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania اسکرین شاٹ 3
  • Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania اسکرین شاٹ 4
  • Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania اسکرین شاٹ 5
  • Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania اسکرین شاٹ 6
  • Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania اسکرین شاٹ 7

کے پرانے ورژن Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania

APKPure آئیکن

APKPure ایپکےذریعےانتہائی تیزاورمحفوظڈاؤنلوڈنگ

Android پر XAPK/APK فائلیںانسٹالکرنےکےلیےایککلککریں!

ڈاؤن لوڈ کریں APKPure
thank icon
ہم آپ کے صارف کے تجربے کو بہتر بنانے کے لیے اس ویب سائٹ پر کوکیز اور دیگر ٹیکنالوجیز کا استعمال کرتے ہیں۔
اس صفحے پر کسی بھی لنک پر کلک کرکے آپ ہماری رازداری کی پالیسی اور کوکیز پالیسی پر متفق ہو رہے ہیں۔
مزید جانیں