Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania

Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania

  • 8.2 MB

    حجم الملف

  • Android 4.1+

    Android OS

عن Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania

تحميل نيمبو مبيا تنزانيا

Kama unapenda kusikiliza Nyimbo Mpya za Tanzania basi Nyubeat ni app nzuri Kwako, App hii inakupa uwezo wa kudownload pamoja na kusikiliza nyimbo mpya za Tanzania kwa urahisi na haraka kuliko chanzo chochote hapa Tanzania.

Kitu kizuri kuhusu App hii ni kuwa ni rahisi sana kutumia na utaweza kudownload nyimbo mpya kutoka kwa wasanii wote wa Tanzania, pia kuanzia leo usijali kuhusu nyimbo yoyote mpya kwani hata kabla haijafika redioni utapata taarifa notification kwa ajili ya kudownload nyimbo mpya moja kwa moja kupitia simu yako.

Kama wewe ni mpenzi wa nyimbo mpya za bongo flava, au nyimbo mpya za dini za Tanzania, au kama wewe ni mpenzi wa video mpya kutoka Tanzania basi App hii ni nzuri sana kwako.

App ya Nyubeat haina sehemu nyingi za kubonyeza kwani tunajua wewe ni mpenzi wa nyimbo hivyo unahitaji kupata unachotafuta. Kwa kutumia sehemu ya kutafuta unaweza kupata nyimbo yoyote kutoka Tanzania, iwe ni nyimbo za mwaka 2017 hadi mwaka 2019 zote utazipata kupitia app hii.

Kwa sasa bado tunaendelea kuboresha app hii na kuongeza vipengele vipya vitakavyo kusaidia kupata nyimbo mpya za Tanzania kwa haraka zaidi.

عرض المزيد

What's new in the latest 2.5

Last updated on 2020-01-05
Matangazo yamepunguzwa

Muoenakano umeboreshwa

Sasa changia kuondoa matangazo

Bugs Fix and Perfomance Improved
عرض المزيد

فيديوهات ولقطات الشاشة

  • Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania لأندرويد مقطورة الرسمية
  • Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania تصوير الشاشة 1
  • Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania تصوير الشاشة 2
  • Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania تصوير الشاشة 3
  • Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania تصوير الشاشة 4
  • Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania تصوير الشاشة 5
  • Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania تصوير الشاشة 6
  • Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania تصوير الشاشة 7

الإصدارات القديمة لـ Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania

APKPure أيقونة

قم بتنزيل سريع وآمن بالغاية عبر تطبيق APKPure

قم بتثبيت ملفات XAPK/APK بنقرة واحدة على أندرويد!

تحميل APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies