Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania

Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania

  • 8.2 MB

    파일 크기

  • Android 4.1+

    Android OS

Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania 정보

다운로드 Nyimbo Mpya Tanzania

Kama unapenda kusikiliza Nyimbo Mpya za Tanzania basi Nyubeat ni app nzuri Kwako, App hii inakupa uwezo wa kudownload pamoja na kusikiliza nyimbo mpya za Tanzania kwa urahisi na haraka kuliko chanzo chochote hapa Tanzania.

Kitu kizuri kuhusu App hii ni kuwa ni rahisi sana kutumia na utaweza kudownload nyimbo mpya kutoka kwa wasanii wote wa Tanzania, pia kuanzia leo usijali kuhusu nyimbo yoyote mpya kwani hata kabla haijafika redioni utapata taarifa notification kwa ajili ya kudownload nyimbo mpya moja kwa moja kupitia simu yako.

Kama wewe ni mpenzi wa nyimbo mpya za bongo flava, au nyimbo mpya za dini za Tanzania, au kama wewe ni mpenzi wa video mpya kutoka Tanzania basi App hii ni nzuri sana kwako.

App ya Nyubeat haina sehemu nyingi za kubonyeza kwani tunajua wewe ni mpenzi wa nyimbo hivyo unahitaji kupata unachotafuta. Kwa kutumia sehemu ya kutafuta unaweza kupata nyimbo yoyote kutoka Tanzania, iwe ni nyimbo za mwaka 2017 hadi mwaka 2019 zote utazipata kupitia app hii.

Kwa sasa bado tunaendelea kuboresha app hii na kuongeza vipengele vipya vitakavyo kusaidia kupata nyimbo mpya za Tanzania kwa haraka zaidi.

더 보기

What's new in the latest 2.5

Last updated on 2020-01-05
Matangazo yamepunguzwa

Muoenakano umeboreshwa

Sasa changia kuondoa matangazo

Bugs Fix and Perfomance Improved
더 보기

비디오 및 스크린 샷

  • Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania의 안드로이드 공식 트레일러
  • Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania 스크린샷 1
  • Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania 스크린샷 2
  • Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania 스크린샷 3
  • Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania 스크린샷 4
  • Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania 스크린샷 5
  • Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania 스크린샷 6
  • Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania 스크린샷 7

Nyubeat - Nyimbo Mpya Tanzania의 오래된 버전

APKPure 아이콘

APKPure 앱을통한매우빠르고안전한다운로드

한번의클릭으로 Android에 XAPK/APK 파일을설치할수있습니다!

다운로드 APKPure
thank icon
사용자 환경을 개선하기 위해 이 웹 사이트의 쿠키 및 기타 기술을 사용합니다.
이 페이지의 링크를 클릭하면 당사의 개인 정보 보호 정책쿠키 정책에 동의하는 것입니다.
더 알아보기