Utabiri wa Nyota


1.0 by DiraJumla
Mar 21, 2024 Old Versions

About Utabiri wa Nyota

Utabiri wa Nyota Kwa kiswahili kila siku

Fatilia utabiri wa nyota kila siku uamkapo. Utabiri huu utakuwezesha kufahamu nini kinajiri katika maisha katika siku husika.

Utabiri wa nyota kwa kiswahili, App hii inakuwezesha kufahamu utabiri wa nyota yako kwa lugha fasaha ya kiswahili kiswahili.

Utabiri wa nyota unahisisha nyota za Ndoo, Mbuzi, Mshale, Ng'e, Mizani, Mashuke, Simba, Kaa, Mapacha, Ng'ombe, Punda na Samaki.

Pia App hii inakuwezesha kufahamu Tafsiri za ndoto, ikiwa unatamani kufahamu tafsiri mbalimbali za ndoto ambazo umekua ukiota basi App hii inakupa tafsiri za ndoto zaidi ya miatano.

Kupitia usomaji wa nyota katika App hii, utaweza kufahamu ni nyota ipi unaendana nayo katika mahusiano n.k

*************************************

Daily Horoscope reading and prediction App. With this App, you will be able to find what might happen to you in a day according to your Zodiac Sign. Zodiac Signs included in this App are:

Aries (March 21 – April 19)

Taurus (April 20 – May 20)

Gemini (May 21 – June 20)

Cancer (June 21 – July 22)

Leo (July 23 – August 22)

Virgo (August 23 – September 22)

Libra (September 23 – October 22)

Scorpio (October 23 – November 21)

Sagittarius (November 22 – December 21)

Capricorn (December 22 – January 19)

Aquarius (January 20 – February 18)

Pisces (February 19 – March 20)

The Daily horoscope is provided only in Swahili Language.

What's New in the Latest Version 1.0

Last updated on Mar 24, 2024
* Daily horoscope reading and prediction.
*All zodiac sign included

Additional APP Information

Latest Version

1.0

Uploaded by

Paing

Requires Android

Android 5.0+

Report

Flag as inappropriate

Show More

Use APKPure App

Get Utabiri wa Nyota old version APK for Android

Download

Use APKPure App

Get Utabiri wa Nyota old version APK for Android

Download

Utabiri wa Nyota Alternative

Get more from DiraJumla

Discover