Safe & Fast APK Downloads on APKPure
APKPure uses signature verification to ensure virus-free AJIRA MPYA APK downloads for you.
Kuwa wa kwanza kupata taarifa juu ya ajira mpya kila siku viganjani mwako
Ajira Mpya app inarahisisha maisha yako ya kila siku. Inakukusanyia taarifa zote zinazohusu masuala mazima ya ajira zote zinazotangazwa ndani na nje ya nchi ya Tanzania. Pia pata taarifa juu ya:
* Kuitwa kwenye Usaili (Interview)
* Dondoo za Ajira (Jobs Tips)
* Matokeo ya Kielimu (Results)
* Ufadhili wa masomo (Interships)
* Internships
One-click to install XAPK/APK files on Android!