Hadithi 40 za Imamu Nawawi


2.0 بواسطة K Technologies
06/09/2023 الإصدارات القديمة

Hadithi 40 za Imamu Nawawiحول

الحديثي 40 za Imamu Nawawi - Lugha Ya Kiswahili

Hizi ni hadithi za Mtume (s.a.w) zilizoandikwa na Imam Nawaw Allah amridhiye. Kitabu hiki kimekusanya hadithi 40 kutoka katika vitabu vikubwa vya hadithi kama Sahihul-bukhar، sahihul muslim na vinginevyo. 40- رحمه الله.

الإمام Nawaw pia ameandika vitabu vingi vya hadithi na Fiqh. Ameandika kitabu cha hadithi kinazotambulika kama Riyaadhu as-salihiin yaani "BOSTANI LA ​​WAJAWEMA" pia katika kitabu hicho alikusudia kuandika hadithi sahihi tu.

Hivyo basi nasi tumeona kuwaletea karibu hadithi hizi kwa lugha ya kiswahili ili kuendelea kuisambaza kazi ya maulamaa hawa. Tuanatarajia radhi kwa Allah katika kazi hii. Kwa yeyote atakayeona kosa basi awasiliane nasi kwa haraka zaidi.

معلومات أكثر ل تطبيق

احدث اصدار

2.0

محمل

Bilal Khan

Android متطلبات النظام

Android 4.4+

Available on

عرض المزيد

Use APKPure App

Get Hadithi 40 za Imamu Nawawi old version APK for Android

تحميل

Use APKPure App

Get Hadithi 40 za Imamu Nawawi old version APK for Android

تحميل

Hadithi 40 za Imamu Nawawi البديل

احصل على المزيد K Technologies

الاكتشاف