Hadithi 40 za Imamu Nawawi


2.0 przez K Technologies
Sep 6, 2023 Stare wersje

O Hadithi 40 za Imamu Nawawi

Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Lugha ya Kiswahili

Hizi ni hadithi za Mtume (saw) zilizoandikwa na Imam Nawaw Allah amridhiye. Kitabu hiki kimekusanya hadithi 40 kutoka katika vitabu vikubwa vya hadithi kama Sahihul-bukhar, sahihul muzułmański na vinginevyo. Amekusudia kuchagua hadithi sahihi tu katika hizi hadithi 40.

Imam Nawaw pia ameandika vitabu vingi vya hadithi na Fiqh. Ameandika kitabu cha hadithi kinazotambulika kama Riyaadhu as-salihiin yaani „BOSTANI LA ​​WAJAWEMA” pia katika kitabu hicho alikusudia kuandika hadithi sahihi tu.

Hivyo basi nasi tumeona kuwaletea karibu hadithi hizi kwa lugha ya kiswahili ili kuendelea kuisambaza kazi ya maulamaa hawa. Tuanatarajia radhi kwa Allah katika kazi hii. Kwa yeyote atakayeona Kosa Basi Wasiliane nasi kwa haraka zaidi.

Dodatkowe informacje APLIKACJA

Ostatnia Wersja

2.0

Przesłane przez

Bilal Khan

Wymaga Androida

Android 4.4+

Available on

Pokaż więcej

Use APKPure App

Get Hadithi 40 za Imamu Nawawi old version APK for Android

Pobierz

Use APKPure App

Get Hadithi 40 za Imamu Nawawi old version APK for Android

Pobierz

Hadithi 40 za Imamu Nawawi Alternatywa

Zdobądź wiecej z K Technologies

Odkryć