Hadithi 40 za Imamu Nawawi


2.0 oleh K Technologies
Sep 6, 2023 Versi lama

Tentang Hadithi 40 za Imamu Nawawi

Hadithi 40 za Imamu Nawawi - Lugha ya Kiswahili

Hizi ni haditsi za Mtume (s.a.w) zilizoandikwa na Imam Nawaw Allah amridhiye. Kitabu hiki kimekusanya hadits 40 kutoka katika vitabu vikubwa vya haditsi kama Sahihul-bukhar, sahihul muslim na vinginevyo. Amekusudia kuchagua hadits sahihi tu katika hizi hadits 40.

Imam Nawaw pia ameandika vitabu vingi vya hadits na Fiqh. Ameandika kitabu cha hadits kinazotambulika kama Riyaadhu as-salihiin yaani “BOSTANI LA ​​WAJAWEMA” pia katika kitabu hicho alikusudia kuandika hadits sahihi tu.

Hivyo basi nasi tumeona kuwaletea karibu hadits hizi kwa lugha ya kiswahili ili kuendelea kuisambaza kazi ya maulamaa hawa. Tuanatarajia radhi kwa Allah katika kazi hii. Kwa yeyote atakayeona kosa basi awasiliane nasi kwa haraka zaidi.

Informasi APL tambahan

Versi Terbaru

2.0

Diunggah oleh

Bilal Khan

Perlu Android versi

Android 4.4+

Available on

Tampilkan Selengkapnya

Use APKPure App

Get Hadithi 40 za Imamu Nawawi old version APK for Android

Unduh

Use APKPure App

Get Hadithi 40 za Imamu Nawawi old version APK for Android

Unduh

Hadithi 40 za Imamu Nawawi Alternatif

Mendapatkan lebih banyak dari K Technologies

Menemukan