Hadithi 40 za Imamu Nawawi

K Technologies
13/09/2023
  • 22.8 MB

    اندازه فایل

  • Android 4.4+

    Android OS

درباره‌ی Hadithi 40 za Imamu Nawawi

حدیث 40 za امامو نواوی - Lugha ya Kiswahili

Hizi ni hadithi za Mtume (s.a.w) zilizoandikwa na Imam Nawaw Allah amridhiye. Kitabu hiki kimekusanya hadithi 40 kutoka katika vitabu vikubwa vya hadithi kama Sahihul-bukhar، sahihul muslim na vinginevyo. Amekusudia kuchagua hadithi sahihi tu katika hizi hadithi 40.

امام نوا پیا آمندیکا ویتابو وینگی ویا حدیث نه فقه. Ameandika kitabu cha hadithi kinazotambulika kama Riyaadhu as-salihiin yaani “BOSTANI LA ​​WAJAWEMA” pia katika kitabu hicho alikusudia kuandika hadithi sahihi tu.

Hivyo basi nasi tumeona kuwaletea karibu hadithi hizi kwa lugha ya kiswahili ili kuendelea kuisambaza kazi ya maulamaa hawa. Tuanatarajia radhi kwa Allah katika kazi hii. کوآ ییوته آتاکایونا کوسا بیسی اوسیلیانه ناسی کو هاراکا زیدی.

نمایش بیشترنمایش کمتر

جدیدترین 2.0 چه خبر است

Last updated on 13/09/2023
Minor bug fixes and improvements. Install or update to the newest version to check it out!

نسخه‌های قدیمی Hadithi 40 za Imamu Nawawi

دانلود فوق سریع و ایمن از طریق برنامه APKPure

برای نصب فایل های XAPK/APK در اندروید با یک کلیک!

دانلود APKPure