Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania

Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania

StonekApps
18/08/2017
  • 4.7 MB

    حجم الملف

  • Android 4.0.3+

    Android OS

عن Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania

قراءة معلومات حول هذا الموضوع (موضوع) كنت ترغب في تتبع

Zinazosomwa ni app inayokusogezea habari unazopenda kuzisoma kutoka vyanzo vikubwa mbali mbali Tanzania. Kwa mfano kama wewe unapenda tu kupata habari za michezo na burudani, basi app hii itakupa habari za michezo na burudani tu! Kama unapenda habari za siasa basi itakusogezea habari za siasa tu. Vileviel kama unapenda habari zote zile basi itakuletea habai zote!

Pia app hii inaweza kukwambia mambo gani yanavuma Tanzania na pia inaweza kukuonesha habari zipi zinasomwa sana katika siku.

Baadhi ya vyanzo vya habari ni Millard Ayo, Mwananchi, Mzlaendo, BBC Swahili, Channel 10, Dar24, Habari Leo, Mwana Spoti, Global Publishers, Mwanahalis Online, Raia Mwema, Swahili Times, VOA Swahili, Swahili Hub, Swahili Times, Perfect255, Shaffih Dauda, Udaku Specially, Dizzim Online, Bongo 5, 8020 Fashions Blog, Full Shangwe Blog, Issa Michuzi, Mitandaoni, Mjengwa Blog, Mtembezi, Habari Kwanza, Ghafla Tanzania, Dewji Blog, Kwetu Tanzania na zinginezo nyingi tunazoendelea kuziongeza

Pia app hii inaruhusu watumiaji wake kunzisha mijadala na kuchangia maoni juu ya mijadala hiyo. Pia watumiaji wanaweza kutoa maoni juu ya habari fulani waliyoisoma.

App hii inakusanya habari kila baada ya dakika moja. Hivyo watumiaji hawatapitwa na habari pindi itakapowekwa kwenye chanzo husika.

App hii inawanufaisha wamiliki wa vyanzo vya habari ama waandishi kwa kuwa inaongeza idadi ya watu watakaosoma habari husika kwani habari zote zinasomwa kwenye kurusa zake lakini ndani ya Zianazosomwa App.

عرض المزيد

What's new in the latest 4.1.0

Last updated on 2017-08-19
- Tatizo la video na udio kuendelea kucheza limelekebishwa
- Commenting on News
- Discussion Forum
- Maboresho ya kimuonekano
- Marekebisho ya ndani kwa ndani

**********
- Audio and Video playing problems have been fixed
- Commenting on News
- Discussion Forum
- Improved User Interface
- Internal bug fixes
عرض المزيد

فيديوهات ولقطات الشاشة

  • Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania الملصق
  • Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania تصوير الشاشة 1
  • Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania تصوير الشاشة 2
  • Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania تصوير الشاشة 3
  • Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania تصوير الشاشة 4
  • Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania تصوير الشاشة 5
  • Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania تصوير الشاشة 6
  • Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania تصوير الشاشة 7

الإصدارات القديمة لـ Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania

APKPure أيقونة

قم بتنزيل سريع وآمن بالغاية عبر تطبيق APKPure

قم بتثبيت ملفات XAPK/APK بنقرة واحدة على أندرويد!

تحميل APKPure
thank icon
We use cookies and other technologies on this website to enhance your user experience.
By clicking any link on this page you are giving your consent to our Privacy Policy and Cookies Policy.
Learn More about Policies